Jumatano 8 Julai 2026 - 12:50
Usindikizaji wa Mwili wa Imam Shahidi Khamenei Waanza kutokea Daraja la Kufa, Najaf Ashraf + Picha

Hawza/ Usindikizaji wa mwili wa Imam Shahidi Khamenei umeanza kutokea Daraja la Kufa katika mji wa Najaf Ashraf, ukihudhuriwa na umati mkubwa wa wananchi.

Kwa mujibu wa Kitengo cha tarjama cha Shirika la Habari la Hawza, usindikizaji wa mwili wa Imam Shahidi Sayyid Ali Khamenei umeanza leo Jumatano kutokea Daraja la Kufa mjini Najaf Ashraf, huku ukishuhudiwa na ushiriki mkubwa wa wananchi wa Iraq.

Hafla hiyo imehudhuriwa na umati mkubwa wa raia.

Usindikizaji wa Mwili wa Imam Shahidi Khamenei Waanza kutokea Daraja la Kufa, Najaf Ashraf + Picha

Mwili wa Kiongozi Shahidi wa Iran ulisindikizwa katika mazishi hayo mbele ya ushiriki mpana wa maulamaa, viongozi wa kidini na kisiasa, mazuwari pamoja na wananchi wa Iraq katika mji wa Najaf Ashraf.

Usindikizaji wa Mwili wa Imam Shahidi Khamenei Waanza kutokea Daraja la Kufa, Najaf Ashraf + Picha

Usindikizaji wa Mwili wa Imam Shahidi Khamenei Waanza kutokea Daraja la Kufa, Najaf Ashraf + Picha

Usindikizaji wa Mwili wa Imam Shahidi Khamenei Waanza kutokea Daraja la Kufa, Najaf Ashraf + Picha

Usindikizaji wa Mwili wa Imam Shahidi Khamenei Waanza kutokea Daraja la Kufa, Najaf Ashraf + Picha

Lebo

Maoni yako

You are replying to: .
captcha